Chorus
Ingekuwa heri leo, msikie sauti yakenmsifanye migumu mioyo yenu
Verse 2
Njoni tumwimbie Bwana,ntumfanyie shangwe
Mwamba wa wokovu wetun
Tuje mbele zake kwa shukrani, tnumfanyie shangwe kwa zaburin
Njoni tuabududu tusujudu,ntupige magoti mbele ya Mungu aliyetuumban
Kwa maana ndiye Mungu wetu; na sisintu watu wa malisho yake, na kondoo zanmkono wake