SectionsEntranceInapendeza Kuingia

Inapendeza Kuingia

Baptism,Ordinary TimeEntrance
Chorus

{ Kunapendeza kutazama kwake Bwana

Nyumba yake Bwana inapendeza } *2n{ Inapendeza (kweli) inapendeza (sana)

Inapendeza inafurahisha moyo

Nyumba ya Bwana inapendeza } *2

Verse 2

Kuna furaha kuingia kwake Bwana

Nyumba yake Bwana ina furahan{ Ina furaha (kweli) ina furaha (kubwa)

Ina furaha ni furaha ya Mbinguni

Nyumba ya Bwana ina furaha. } *2n

Verse 3

Kuna baraka kuabudu kwake Bwana

Nyumba yake Bwana ina barakan{ Ina baraka (kweli) ina baraka (nyingi)

Ina baraka inayo baraka tele

Nyumba ya Bwana ina Baraka } *2

Verse 4

Kuna chakula kutulia kwake Bwana

Nyumba yake Bwana ina chakulan{ Ina chakula (kweli) ina chakula (kingi)

Ina chakula ni chakula cha roho zetu

Nyumba ya Bwana ina chakula. } *2

Verse 5

Kuna uzima kusujudu kwake Bwana

Nyumba yake Bwana ina uziman{ Ina uzima (kweli) ina uzima (tele)

Ina uzima ni uzima wa milele

Nyumba ya Bwana ina uzima } *2n