SectionsEntranceInakuwaje Tunasikia

Inakuwaje Tunasikia

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Inakuwaje tunasikia maneno, wanayosema,nkwa lugha yetu wenyewe

Tunasikia mambo hayo ya Mungu, wanayosema,nkwa lugha yetu wenyewenn{ Wao ni wa Galilaya, na si ni wa makabila,

Ya kutoka nchi mbalimbali (duniani)

Ina maana gani, linashangaza jambo hilo } *2

Verse 2

Siku ile ya Pentekoste ilipofika,nmitume nao waamini

Walikusanyika pamoja katika nyumba,nwalimokuwa wamekaa

Verse 3

Mara uvumi wa upepo ukasikika,nndimi za moto zikawashukia,

Wakawa wamejazwa na Roho Mtakatifu,nwakisema lugha nyingi