SectionsExitImbeni Sifa Zake

Imbeni Sifa Zake

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Lent,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Easter,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

{ Imbeni sifa zake Bwana, msifuni Bwana msifuni

Hubirini, hubirini, hubirini,

Hubirini matendo yake kwa kila kiumbe } *2

Tangazeni matendo ya Bwanankuto -ka ma -sha -ri -ki na magharibi

Se -me -ni Bwana ni mkuu sana sana sanan{ Tukuzeni sifa za Bwana (tukuzeni sifa za Bwana)

Fikirini matendo ya Bwana,

Fikirini matendo yake yanatisha kama nini } *2

Verse 2

Waambieni watu, matendo ya Bwana,

Yanatisha sana, yatisha sana

Verse 3

Zisemeni sifa, sifa zake Bwana,

Hubirini Neno, la Mungu wetu

Verse 4

Bwana ni mkuu, mwenye kusifiwa,

Atukuzwe Mungu, milele yote