SectionsExitIkiwa Twaaamini

Ikiwa Twaaamini

LentExit
Chorus

{ Ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa na kufufuka

Vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu

Mungu atawaleta pamoja naye } *2

Verse 2

Ndugu hatutaki mzijue habari zao waliolala mauti

Msije mkahuzunika kama wengine wasio na matumaini

Verse 3

Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana

Kwamba sisi tulio hai tutakaosalia

Hata wakati wa kuja kwake Bwana

Hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti

Verse 4

Kwa sababu Bwana Mwenyezi atashusha kutoka mbinguni

Pamoja na mwaliko na sauti ya malaika mkuu

Na parapanda ya Mungu