SectionsExitIkatetemeka Nchi

Ikatetemeka Nchi

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Lent,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,EasterExit
Chorus

(Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,n(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka )*2

Na tazama akashuka Bwana,

Mfalme wa Mbingu na dunia,

Mwenye fimbo mkononi mwake,

Ishara yake ni kuchunga kondoon(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo

Matunda ni amani, ni amani )*2

Verse 2

Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu

Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya

Verse 3

Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa,

Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni

Verse 4

Ni ushindi kubwa mno, ushindinushindi wa pekee, tuimbe aleluya