I Love You

WeddingThanksgiving
Verse 1

Siku tuliyoingoja mimi na wewe,

Kwa uwezo wake mungu leo imefika,

Chorus

Popote uendapo tutakuwa pamojan{Mungu ametuunganisha mimi nawe,nnasi wawili tena ni mwili mmoja,nwewe ni wangu kwelinna mimi ni wako njoo,

I love you mpenzi wangu

I need you siku zote I love you) *2

Verse 3

Kwa maombezi yake mama yetu maria,

Ahadi yetu sasa kweli imetimia,

Verse 4

Chaguo la moyo wangu mimi nakupenda,

Tulizo la moyo wangu njoo karibu yangu,

Verse 5

Nimekuchagua wewe wangu wa maisha,

Agizo la moyo wangu njo tujitulize,

Verse 6

Mpenzi wangu nakupenda nawe unipende,

Kwa penzi la raha na karaha tupendane,