Chorus
Huyu ni yule Yesu, [t] Yesu
Yesu mwana wa Daudi
Huyu ni yule Yesu, [s] Yesu
Mwana wa Galilaya
Verse 2
Mwambieni Binti Sayuni, tazama mfalme wakon(Anakuja kwako mpole, amepanda mwanapunda*2)
Verse 3
Inukeni enyi malango, inueni vichwa vyenun(Mfalme apate ingia, mfalme wa utukufu *2)
Verse 4
Na watoto wa Wayahudi, walimlaki Mwokozin(Wakiyachukua matawi, wakipiga makelele *2)
Verse 5
Aliyakemea mawimbi, bahari ikatulian(Akatembea juu ya maji, akatembea kwa miguu *2)
Verse 6
Aliponya wagonjwa wengi, kwa neno la kinywa chaken(Hata vazi lake ni dawa, yule mama alipona *2)
Verse 7
Alimfufua Lazaro, Lazaro aliyekufan(Akarudi tena mzima akatoka kaburini *2)