SectionsExitHuyu Ni Yule Yesu (Ii)

Huyu Ni Yule Yesu (Ii)

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Lent,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary Time,Lent,LentExit
Chorus

Huyu ni yule Yesu, [t] Yesu

Yesu mwana wa Daudi

Huyu ni yule Yesu, [s] Yesu

Mwana wa Galilaya

Verse 2

Mwambieni Binti Sayuni, tazama mfalme wakon(Anakuja kwako mpole, amepanda mwanapunda*2)

Verse 3

Inukeni enyi malango, inueni vichwa vyenun(Mfalme apate ingia, mfalme wa utukufu *2)

Verse 4

Na watoto wa Wayahudi, walimlaki Mwokozin(Wakiyachukua matawi, wakipiga makelele *2)

Verse 5

Aliyakemea mawimbi, bahari ikatulian(Akatembea juu ya maji, akatembea kwa miguu *2)

Verse 6

Aliponya wagonjwa wengi, kwa neno la kinywa chaken(Hata vazi lake ni dawa, yule mama alipona *2)

Verse 7

Alimfufua Lazaro, Lazaro aliyekufan(Akarudi tena mzima akatoka kaburini *2)n