SectionsOffertoryHuu Sasa Nu Wakati (Ii)

Huu Sasa Nu Wakati (Ii)

Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Lent,Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

Huu sasa ni wakati wa kutoa yako sadaka

Usisite Mungu wako akuona usifiche

Huu sasa ni wakati wa kutoa yako sadaka

Usisite Mungu wako akuona usifichen

Chorus

{Toa ndugu toa, toa ndugu toa ndugu

Ulicho nacho, mshukuru Mungu wako kwa mema yote} *2

Verse 3

Mtolee shukrani zako Mungu wako

Kwa kutoa zawadi uliyo nayo

Verse 4

Ulivyo navyo amekupa Yeye Bwana

Nawe mpe Bwana kwa shukrani

Verse 5

Nafsi zetu na mali pia vyake Bwana

Haki kuvirudisha kwake Bwana