Chorus
Huu sasa ni wakati wa kutoa yako sadaka
Usisite Mungu wako akuona usifiche
Huu sasa ni wakati wa kutoa yako sadaka
Usisite Mungu wako akuona usifichenn{Toa ndugu toa, toa ndugu toa ndugu
Ulicho nacho, mshukuru Mungu wako kwa mema yote} *2
Verse 2
Mtolee shukrani zako Mungu wako
Kwa kutoa zawadi uliyo nayo
Verse 3
Ulivyo navyo amekupa Yeye Bwana
Nawe mpe Bwana kwa shukrani
Verse 4
Nafsi zetu na mali pia vyake Bwana
Haki kuvirudisha kwake Bwana