SectionsBible ProcessionHubirini Neno Lake

Hubirini Neno Lake

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Hubirini neno lake Mungu kwa mataifa yote

Tangazeni ukuu wa Mungu kwa viumbe vyoten{ Kwa kuwa Bwana - ni mwema

Ni mwema rehema zake hudumu,

Vizazi hata vizazi, vizazi kwa wamchao } *2

Verse 2

Mpigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki,

Kusifu kwawapasa, wanyofu wa moyo

Verse 3

Semeni kwa shangwe, Bwana amelikomboa taifa lake`,

Bwana amelikomboa taifa lake