Hosanna Tunaimba
Ordinary Time,MarianSign of Peace
Verse 1
Hosanna x3 tunaimba hosanna
Alleluia x3 tunaimba alleluia
Ee Baba x3 Baba yetu wa mbinguni
Mtakatifu x3 ewe Baba wa mbinguni
Twakusifu x3 ewe Baba wa mbinguni
Twakuabudu x3 ewe Baba wa mbinguni
Twakuinua x3 ewe Baba wa mbingunin