SectionsEntranceHosanna Mwana Wa Daudi

Hosanna Mwana Wa Daudi

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Advent,Advent,Advent,Advent,Baptism,Baptism,LentEntrance
Chorus

Hosana mwana wa Daudi Hosana Mwananwa Daudi, Hosana (Hosana). Mbarikiwananayekuja kwa jina lake Bwana Mungu,

Hosana (Hosana) Hosana Hosana Hosanan(Hosana Hosana Hosana Mwana wa Daudi) *2

Verse 2

Kweli hii ndio siku Bwana aliyoifanya nantufurahie, mshukuruni Bwana Mungu kwanmaana fadhili zake ni za milele.

Verse 3

Mkono wa kuume wa Bwana umetendanmakuu na umetukuzwa, sitakufa balinnitaishi na kusimulia matendo ya Bwana.n

Verse 4

Jiwe walilolikataa ndilo Jiwe kuu lanpembeni, neno bali limetoka kwake

Bwana Mungu wetu.