SectionsExitHongera Mama Yetu Maria

Hongera Mama Yetu Maria

Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Hongera Mama Yetu - Maria

Kumzaa Mwana - mfaLme

Hongera hongera mama yetu

Kwa kumzaa mtoto Yesu

Mfalme na mkombozi wa wanadamu

Verse 2

Kwa utii wako Maria, ulikubali kumzaa mtoto

Mwanamume, kwa nini tusikuheshimu

Chorus

Mwenyezi amekuchagua, kumzaa mkombozi

Mwokozi wa ulimwengu, kwa nini tusikuheshimu

Verse 4

Mwenyezi amekukingia, ile dhambi ya asili

Hauna doa mama, kwa nini tusikuheshimu

Verse 5

Umemzaa Mwokozi na bado ukabaki bikira

Bikira milele, kwa nini tusikuheshimu