Chorus
Hongera Bwana na Bi harusi *2
Twawatakia maisha marefu. *2
Hongera Bwana na Bibi harusi
Verse 2
Mliofunga ndoa leo
Muishi kwa amani nyumbani mwenu.
Verse 3
Pete mliovikana leo
Ni ishara ya mapendo mbele ya Mungu
Verse 4
Bwana amtendee Bibi mema
Bibi amtendee Bwana mema
Verse 5
Muwaheshimu wazazi wote
Kila upande Bibi na Bwana.
Verse 6
Kiapo cha leo mlichoapiana
Mkikumbuke siku zote.