SectionsThanksgivingHongera Hongera

Hongera Hongera

WeddingThanksgiving
Chorus

{ Hongera hongera

Bwana harusi hongera na bibi harusi } *2

Kwa kujongea altare yake Bwana

Upendo wenu mmeudhihirisha

Muishi kwa amani siku zote, katika nyumba yenu.

Mungu awabariki awalinde maisha yenu yote

Verse 2

Tunawatakia heri, salama na amani

Shikeni agano lenu, kwa uaminifu

Verse 3

Mungu awajalieni, baraka na rehema

Wajalieni watoto walo watakatifu

Verse 4

Leo mmedhihirisha, upendo thabiti

Alounganisha Mungu, yasitenganishwe.