SectionsEntranceHodi Hodi Nyumbani Mwako Bwana

Hodi Hodi Nyumbani Mwako Bwana

Entrance
Chorus

Hodi hodi nyumbani mwako Bwana

Ninabisha nifungulie, Nimekuja nyumbani mwako leo

Nimekuja kukuabudu

Kwa unyenyekevu naijongea

Meza yako yenye baraka

Nakuja na sala zangu ee Bwana

Nakuomba zisikilize

Ninakutolea sadaka yangu

Mungu Baba uipokee

Verse 2

Nyua za Bwana zapendeza,nzinapendeza macho kama ninin(Natamani kuingia hekaluninnikamwabudu) *2

Verse 3

Nimeingia hekaluni,nnimeingia hekaluni mwakon(Nimekuja kuabudu kusujudunnyumbani mwako) *2

Verse 4

Unipokee Mungu wangu,nunitakase mimi mwenye dhambin(Nimekuja mbele zako Mungu Babanunipokee) *2