SectionsExitHodi Ee Wachunga

Hodi Ee Wachunga

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,ChristmasExit
Chorus

{Hodi ee Wachunga, amkeni msiwe na woga,

Amkeni upesi amkeni hima twende Bethlehem } *2nn{Tukamuone Mtoto, tumwimbie na nyimbo

Tumpigie na ngoma, aleluya leo } *2

Verse 2

Mwokozi kazaliwa, mjini mwa Daudi

Twende tumwone, tukamsujudu

Verse 3

Nyasi amelalia, jukumu la Maria

Akimtunza Mtoto, Mkombozi wetu

Verse 4

Wafalme wa dunia, wanajipangapanga

Wanafanya ghasia, juu ya Masiya

Verse 5

Tuimbe kwa furaha, na ngoma tumpigie

Kwa furaha na shangwe, tuimbe aleluya