Chorus
Hima hima leo najongea kwako Bwana.
Ninakuja kwako kwa unyenyekevu wangu.n(Nakutolea matunda ya jasho langu, pokea
Baba na mimi unipe Baraka *2)
Verse 2
Kwa ukarimu nimejitolea mimi mwenyewe, npolepole nasonga mbele nifke kwako.
Ninakukabidhi nilichonacho,nhiki kidogo Baba pokea
Verse 3
Mapato yangu ni duni sana we wanijua;nsina kitu kizuri cha kuletea wewe.
Ninakukabidhi maisha yangunuzima wangu Baba pokea
Verse 4
Mungu wangu ninakuja kwako nikushukuru,numenilinda siku zote asante sana.
Mavuno yangu nakupa wewenna fedha zangu Baba pokea
Verse 5
Wiki nzima umenijalia uhai bure,
Umenikinga na matatizo unanipenda,
Mkate huu nakutolea,
Divai hii Baba pokea.
Verse 6
Baraka zako ninazipokea siku kwa siku
Mungu Baba nionyeshe Mbingu nifanye kazi,
Mifugo yangu nakuletea
Furaha yangu Baba pokea