SectionsThanksgivingHiki Ndicho Kizazi

Hiki Ndicho Kizazi

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao ee Mungu wetu *2n{ Cha wakutafutao uso wako ee Mungu wa Yakobo

Hiki ndicho, hiki ndicho kizazi cha wakutafutao Mungu } *2

Verse 2

Ee Bwana ulinijua tangu tumbo-ni

Wewe unayajua maneno ya-ngu

Verse 3

Mchana na usiku umekuwa kinga

Ee Mungu Mungu wangu nitakusifu

Verse 4

Nitakusifu mimi siku zote ee Mungu

Unibariki Bwana daima milele