SectionsEucharistHiki Ndicho Chakula Bora

Hiki Ndicho Chakula Bora

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

{ Hiki ndicho chakula bora kwa wanyofu wa moyo

Wote wenye mioyo safi Bwana awaalika } *2n{ /s/ a/t/b/

Haya njoni wote mezani kwa chakula bora cha uzima

Haya njoni wote mezani kwa chakula bora

Haya njoni kwa chakula bora, cha uzima

Wana heri wale wote, wanaokipokea } *2

Verse 2

Kwa upendo Bwana Yesu amejitoa kama chakula

Bwana akajitoa, apate kuziokoa roho zetu.

Verse 3

Njooni wote wenye kiu ya kupokea wokovu wake

Njooni maskini, njoni viwete vipofu na wagonjwa

Verse 4

Tule tunywe siku zote kwa ukombozi wa roho zetu

Haya njoni wote, mezani kwa Bwana kwa chakula bora