SectionsEucharistHii Ni Kwaresma

Hii Ni Kwaresma

Lent,Ordinary Time,LentEucharist
Chorus

{ Hii ni kwaresma,nhii ni kwaresma, mwanadamu ukumbuke }*2nn{ Ndio wakati wa kuacha dhambi

Ndio wakati wa kuacha maovu

Ndio wakati wa kufunga na kutoa sadaka kwa maskini } *2

Verse 2

Rarueni mioyo yenu wala sio mavazi

Verse 3

Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote kwa kufunga na kwa kulia na kwa kuombolezan