SectionsEntranceHii Ndio Siku

Hii Ndio Siku

Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana

Tuishangilie na kufurahia nayo

Verse 2

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana

Tuishangilie na kufurahia nayo

Verse 3

Mkono wa kuume umetenda makuu

Mkono wa kuume imenisimamia

Verse 4

Sitakufa moyo bali nitaishi mzima

Nitasimulia matendo yake Bwana

Verse 5

Bwana nguvu yangu na pia wimbo wangu

Yeye amekuwa heri wokovu wetun

Verse 6

Tumshukuru Bwana kwa kuwa yu mwema

Na fadhili zake zinadumu milele

Verse 7

Neno hili zuri limetoka kwa Bwana

Nalo ni uzima sana maishani mwetu