SectionsExitHeri Yenu

Heri Yenu

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,WeddingExit
Chorus

Heri yenu Mungu amewaunganisha,

Msitengane mkavunje hili agano.

Verse 2

Aliumba wazazi wetu kale, paradizoni waitawale.

Verse 3

Alimwumba Adamu babu yetu, na Eva mzazi wetu wa kwanza.

Verse 4

Akasema, 'zaeni mkaenee, ijazeni dunia na watu.'

Verse 5

Leo Mungu amewabarikia, mkafunge agano tukufu.

Verse 6

Lishikeni agano takatifu, siku zote za maisha yenu.n

Verse 7

Pete yenu kwa kweli, ni muungano waivaayo wasiachane.n

Verse 8

Enendeni wawili tangu leo, miongoni mwa raha na taabu.

Verse 9

Nyumba yenu ijae upendano, akosaye atubu mapema.

Verse 10

Na amani ya wenye kumcha Mungu, iwavutie nyoyo za watu.

Verse 11

Sioni, pendo, subira na heshima, ziwe msingi wa maisha yenu.