SectionsExitHeri Walio Maskini

Heri Walio Maskini

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

{Heri walio maskini wa roho,

Kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao }*2n{(Heri) heri wenye huzuni (wao) watafarijiwan(Heri) wenye upole watairithi nchi }*2

Verse 2

Heri walio na njaa na kiu ya haki,

Kwa maana maana hao watashibishwa (heri)

Heri wenye rehema (hawa) watapata rehema

Heri wenye moyo safi hao watamwona Mungu

Verse 3

Heri wale walio wapatanishi

Kwa maana wataitwa wana wa Mungun(Heri) wenye kuuliwa (kwa) kwa ajili ya hakinkwa maana ufalme wa mbinguni ni wao

Verse 4

Heri washutumiwao na kuudhiwa,

Na kunenewa neno baya kwa ajili yangu *2n(Nyinyi) furahini sana (pia) na kushangilia

Kwa maana dhawabu yenu ni kubwa mbinguni