Chorus
{ Heri ninyi watakapo washtumu
Na kuwanenea kila neno baya } *2n{ Lakini furahini sana (sana) na kushangilia
Kwa kuwa dhawabu yenu kubwa Mbinguni } *2
Verse 2
Watawasaliti ninyi ili mpate dhiki
Watawakamata ninyi na kuwapiga sana
Kwa ajili ya jina langu
Verse 3
Watawazushia ninyi maneno ya uwongo
Watawahukumu ninyi jinsi watavyotaka
Kwa ajili ya jina langu
Verse 4
Watawafuata ninyi ili wawasakame
Kwa maana mtasifiwa kwa kila mfanyacho
Kwa ajili ya jina langu