Heri Mume Yule
Wedding,Wedding,WeddingThanksgiving
Chorus
Heri mume Yule, aliye na mke mwema x2.
Siku za maisha yake, siku za maisha yake zitaongezwa tena maradufu x2
Verse 2
Mke hodari humfurahisha mumewe, yeye ni tunu bora kutoka kwa Mungu.
Verse 3
Mwenye huleta Baraka juu ya Baraka, hata huleta wema usio na bei.
Verse 4
Mwenye rehema humpendeza mumewe, na maarifa yake yatamnenepesha.
Verse 5
Kama ilivyo jua lipambazukavyo, ndivyo uzuri wa mke mwema ulivyonivume sana mito ipige makofi *2.