Heri Mtoto Yesu
ChristmasThanksgiving
Chorus
Heri, heri Mtoto Yesu
Heri, heri Mtoto Yesu
Heri maziwa uliyonyonya
Heri na tumbo lililo kuzaa
Heri maziwa uliyonyonya
Heri na tumbo lililokuzaa
Verse 2
Yesu ni Mwana wa Mungu
Mpatanishi wetu na Mungu
Mkombozi wetu twakuungama
Tukupambeje tuweze kueneza utukufu wako
Heri heri heri twakutakia