Chorus
Tumuimbie Mama Yetu Maria,nheri Maria heri mama uliyebarikiwa
Tumuimbie kwa furaha na shangwenheri Maria heri mama uliyebarikiwa
Verse 2
Maria Mtakatifu mama wa Mbingunheri Maria heri mama uliyebarikiwa
Maria uliyejaa neema nyinginheri Maria heri mama uliyebarikiwa
Verse 3
Maria uliyemzaa mkombozi
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Maria uliyemlea mtoto yesu
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Verse 4
Mama Maria mwema usiye na doa
Heri Maria heri mama uliyebarikiwanmama Maria mpole na mwenye huruma
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Verse 5
Ngoma za shangwe tumchezee Maria
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Vigelegele tumpigie Maria
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa