SectionsEntranceHeri Amkumbukaye Mnyonge

Heri Amkumbukaye Mnyonge

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

{Heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu

Bwana atamlinda na kumhifadhi na kumhifadhi hai } * 2

Verse 2

Na atamtegemeza atamtegemeza alipo

Atamtegemeza alipo mgonjwa mgonjwa wa kitandani

Verse 3

Katika ugonjwa wake, nawe umemtandikia

Na mimi nalisema Bwana unifadhili unifadhili mimi

Verse 4

Katika ukamilifu wake, umeniweka mbele ya uso

Na umeniweka mbele ya uso wako na uso wako milele