Chorus
{ Heri mtu yule, amchaye Bwana,
Amchaye Bwana, aendaye katika njia zake } *2
Verse 2
Taabu ya mikono yako utaila,
Utakuwa mwenye heri na baraka
Verse 3
Mkeo atakuwa kama mzabibu,
Uzaao nyumbani mwa-ko
Verse 4
Wanao kama miche ya mizeituni,
Wakizunguka meza yako meza yako
Verse 5
Hakika amebariki-wa hivyo
Mtu yule amchaye Bwana Bwana Mungu