SectionsOffertoryHazina Ya Mbinguni

Hazina Ya Mbinguni

Ordinary TimeOffertory
Chorus

Hiki ndicho nilichoandaa, siku ya leon(Nami) nakusihi ukipokee

Hii ndiyo shukrani yangu, sehemu ya pato langu

Itokayo ndani ya mtima wangu nvHivyo, naileta mikononi mwako (ambapo) nondo hawataiharibu (na kutu)

Naileta mikononi mwako, ambapo mwizi hawezi kuibannaileta mahali salama iwe hazina yangu mbinguni

Verse 2

Ninakutolea moyo wangu wala si mifuko yangu

Ndiyo kazi ya mikono yangu, nakusihi uibariki

Verse 3

Hata kama ni kidogo nakusihi ukipokee

Kwani ndicho nilichoandaa kukutolea ee Mungu wangu

Verse 4

Hiki ninachokutolea kikekupendeze Mungu wangu

Kama ile sadaka ya mtumishi wako, mtumishi wako Abeli.