SectionsEntranceHaya Njooni Njooni

Haya Njooni Njooni

Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,MarianEntrance
Chorus

{Haya njooni njooni, njooni tumsifu Bwana

Haya njooni njooni, tumwimbie kwa furaha } *2n{Tetemekeeni mbele zake, na msujudieni yeye

Haya njooni njooni tumwimbie kwa furaha } *2

Verse 2

Jongeeni mbele zake, jongeeni patakatifu

Jongeeni tumuabudu Bwa-na Mungu wetu

Verse 3

Kwapendeza *2 kusifu kwapendeza sana

Njooni kwa shangwe tumsifu na tumsujudie

Verse 4

Sujuduni kwa heshima mbele ya kiti chake Bwana

Mbele ya kiti chake Bwana kiti chake cha enzi