Chorus
Haya wapendwa wote mwaalika kwa karamu
Kushiriki utamu, utamu wa karamunkaramu ya Bwana *2
Amka ndugu yangu Bwana Yesu ametuita
Tukale mwili wake pia tukanywe damu yaken(twende) simama simama simama
Simama umpokee ee changamka changamka
Changamka changamka akujaze neema zake
Verse 2
Karamu ya mapendo karamu safi na takatifu,
Mwaalikwa wapendwa ili mpokee
Verse 3
Wenye mioyo safi Mwokozi sasa ametuita,
Kwa moyo safi twende wote tupokee
Verse 4
Tutubu dhambi zetu tushiriki karamu ya Bwana
Kwa moyo safi twende wote tupokee
Verse 5
Ni mapendo makubwa Mwokozi yeye katulinda
Tuleni siku zote tufike kwake