SectionsExitHatuteteleki

Hatuteteleki

Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus

{ Hatuteteleki na wala hatubabaishwi,

Mioyoni mwetu hakuna cha kutusuasua

Kwa kuwa tunaye mwenyezi Mungu mwenye haki } *2n

Chorus

n{ Ukiwa na imani na Mungu -

Hautaaibishwa, hautatishwatishwa,nhautadhamiria dhambi

Kama ni maisha ya dunia -

Utakula na kunywa, utavaa vizuri,

Utapata hata na watoto,

Tena wenye tabia njema na elimu bora } *2

Verse 3

Ndani yake yeye ni utamu, shida haijui watu wake,

Kweli Mungu ni mwema

Verse 4

Afya njema aliumba yeye, utajiri aujua yeye,

Kweli Mungu ni mwema

Verse 5

Wa dunia wakikusimanga, Mungu atafanya unenepe

Kweli Mungu ni mwema

Verse 6

Kazi zako watakupangia, Hata sio kwa idhini yako

Mungu awasamehe.