SectionsExitHarusi Yetu Leo

Harusi Yetu Leo

Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,WeddingExit
Verse 1

{ Jamani leo ni furaha,

Leo leo kwetu sisi ni furaha, furaha } *2

Chorus

Harusi yetu leo tuishangilie,nhongera kwenu, tunawapa heko

Wapenzi wametuita tuwape heko,nhongera kwenu, tunawapa heko,n{ Nazo baraka zake Mungu ziwe nanyi pia,nmaishani mwenu } *2

Verse 3

Mimi nimekuchagua uwe wangu wa maisha,

Naahidi takupenda siku zote milele.

Verse 4

Mimi kweli nitakupenda kwa roho yangu yote,

Kama vile Yesu alivyoipenda kanisa

Verse 5

Angalia vazi langu lilivyopambwa marembo,

Hata ndege wa angani wanatushangilia.

Verse 6

Mwendo wako wa maringo, sura yako ya mapenzi,

Mungu Baba atujalie baraka milele