Verse 1
Harusi ya Mungu
Harusi ni siri kwa wale walioitimiza *2
Mnapoahidi
Wakristu wote wanashuhudia yale mnayosema *2.
Ni dhahabu yenu
Muitunze kila siku, isijechafuke *2
Naye Mungu
Wa uwezo maishaini mwenu awasaidie *2
Verse 2
Mtakatifu Paulo,Katika waraka wake kwa
Waefeso sura ya tano
Aliwaambia. Waume wapendeni wake zenunkama miili yenu
Nanyi wanawake, Mtii waume zenunkama vile apendayo Bwana
Verse 3
Mliowaona, Kumbukeni sirinhii ni siri ya ndoa ya rohoni
Kujipamba kwenu, Kusiwe kwa nje tu,nbali mzipambe roho zenu