Verse 1
Arusi ya kwanza ilifanywa shambani
Mungu aliumba Adam na Hawa
Na aliwaambia wakae wawili
Mzae watoto mjaze dunia
Chorus
[Kuna shida kweli]
Mtu akioa miaka mitatu tanonmatusi dharau zikaja nyumbanin[Msipovumilia] mtaangamia
Bwana anasema mjaze dunia
Verse 3
Ewe bibi harusi na Bwana harusi
Sasa mmefunga pingu za maisha
Lakini mjue Shetani yu karibu
Anabisha hodi kuja awatenganishe
Verse 4
Vikwacha nyumbani nazo mtazipata
Taabu magonjwa nyumbani mtapata
Lakini mjue hayo ni maisha
Yote yatokeapo mshukuruni Mungu