Verse 1
Harusi siri kubwa kweli kwa Mungu
Wawili kuwa kitu kimoja ni upendo
Chorus
Haya shangilieni tuwaimbieni
Sote tuwaombeeni waishi vyema
Verse 3
Ahadi kwa Mungu mmetoa timizeni
Upendo uwe msingi imara
Verse 4
Baraka zake Mungu ziwe pamoja nanyi
Furaha mpende watoto Mungu awajalie
Verse 5
Bwana arusi heko kwa bibi arusi
Mungu awajalie awajaze neema