Arusi njema wakristu
Ni arusi iliyoandaliwa mbele ya kanisa *2n(Alto) Akristu (Ten) Njooni [w:] Akristu
Njooni tushangilie pamoja
Njooni tushangilie leo ni furaha
Tukiwaona na
Wakipatana leo kwetu ni furahanna
Wakipatana leo kwetu ni furaha
Wakipatana leo kwetu ni shangwe
Upendo wenu umedhihirika
Uyani kwenu bamba ishini tototo
Uzuri wenu hauna kifani
Uyani kwenu bamba ishini tototo
Na nyumba yenu imebarikiwa
Uyani kwenu bamba ishini tototo ooo
Jitulize mjisikie sukari, siku ya leo ni yenu,
Furahini, mmepambwa maua mnapendeza
Bwana arusi kwanza wachangamka, bibi arusi chachawa,
Chezacheza, penzi lenu leo limekamilika
Mapenzi yenu yote yatasitawi, hakika yatasitawi,
Yatamea, kama ule mwerezi wa Lebanoni
Baraka zake Mungu ziwashukie, kaeni pasipo shida,
Siku zote nyumba yenu iwe hekalu la Mungu.