Chorus
Wamwimbia Hosana x2 Wote mwana wa
Daudi wamwimbia Hosana Hosana
Walimwimbia Hosana
Verse 2
Hapo kale Bwana Yesu walimwimbia,nwalimwimbia Hosana, waliimbanwakienda yerusalemu, walimwimbia Hosanan
Walitandika na nguo zao njiani,nwalimwimbia Hosana, walitandika nanmajani ye mitende, walimwimbia Hosanan
Watu wengi waliotangulia mbele,nwalimwimbia Hosana, walisema huyunndiye M’barikiwa, walimwimbia Hosanan
Yeye ndiye ajaye kwa jina la Bwana,nwalimwimbia Hosana