SectionsEucharistGuadalupe Mass (Utukufu Kwa Mungu)

Guadalupe Mass (Utukufu Kwa Mungu)

Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Utukufu kwa Mungu juu mbinguni

Na amani duniani kwa watu wa mapenzinmeema tunakushukuru kwa jili ya utukufunwako mkuu

Chorus

(Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabuduntunakutukuza)x2

Verse 3

Ee Bwana we Mungu ni mwana kondoonwa Mungu,

Mwana wake Baba mwenye kuondoandhambi za watu;

Verse 4

Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia,

Mungu;

Utuhurumie ombi letu upokee

Verse 5

Ewe mwenye kuketi kuume kwa Babanmwenyezi;

Utuhurumie ndiwe pekee yako mtakatifu;

Verse 6

Peke yako ni Bwana wa pekee mkuu

Yesu Kristu;

Pamoja na Roho katika utukufu wa

Mungu baba