SectionsEucharistGuadalupe Mass (Nasadiki)

Guadalupe Mass (Nasadiki)

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Nasadiki kwa Mungu mmoja

Muumba mbingu na dunia na kwanmwana wa pekee yesu Kristu Bwananwetu ninasadiki

Verse 2

Aliyetungwa kwa uwezo wake Roho

Mtakatifu kazaliwa na Bikira ninasadiki

Verse 3

Aliteswa kwa pilato alisulibiwa na akafanakazikwa akashukia na kuzimunkafufuka yeye siku ya tatu toka wafunninasadiki

Chorus

Ninasadiiki, ninasadiki, ninasadiki

Verse 5

Akapaa juu mbinguni, ameketi kuumenkwake Baba mwenyezi

Atakapotokea kuhukumu watu wotenwazima na wafu

Verse 6

Nasadiki kwake Roho na kanisa takatifunkatoliki la mitume

Ushirika ule mwema wa watakatifu wote,nmaondoleo ya dhambi

Verse 7

Ufufuko wa miili na uzima wa milelenijayo Amina

Ufufuko wa miili na uzima na milele ijayonamina..