Chorus
Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto *2
Tumepewa mtoto mwanaumenmwenye ufalme mabegani pake
Enyi mataifa njooni tufurahi tumshangilie Bwana
Tumshangilie Bwana Yesu kazaliwa *2
Verse 2
Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,ntumshangile (Bwana)
Tumepewa mtoto mwana wake Mungunkwetu kazaliwa, tumshangilie (Bwana)
Verse 3
Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake,ntumshangilie (Bwana)
Ataitwa jina lake mshauri wa ajabu,ntumshangilie (Bwana)