Chorus
Furahi ee Yerusalemu, furahi na tenan{Mshangilieni nyinyi nyote mmpendao
Nyinyi mliao kwa ajili yake } * 2
Verse 2
Mpate kushiba na kunyonya, kushibishwa maziwa
Na maziwa ya faraja faraja zake Kristu.
Verse 3
Furahieni fadhili zake, fadhili zake Mumba wetu
Kwa ajili ya faraja faraja zake Kristu