SectionsExitFuraha Ya Ajabu

Furaha Ya Ajabu

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,WeddingExit
Verse 1

Furaha ya ajabu, pia na vigelegele,nkwa hao ndugu zetu, wanaoona.

Wanathibitisha kuwa wataishi kama mke na mme *2

Chorus

Mmethibitisha mbele ya kanisanya kwamba mtaishi na mkipendana

Siku zote daima na milele

Tunawatakia amani ya Bwananna upendo wake ukae na nyinyi

Siku zote daima na milele

Chorus

(Tenor) Mmeahidi

All Mmeahidi kwamba mtaishin(Tenor) Katika mema

Katika mema na katika mabaya

Chorus

(Tenor) Mmeahidi

All Mmeahidi kwamba mtaishin(Tenor) Kwa utajiri

Kwa utajiri na umaskinin(Tenor) Mmeahidi

All Mmeahidi kwamba mtaishin(Tenor) Mpaka kifo

Mpaka kifo kitakapowatenga

Verse 5

Mmepewa pete ya kuwa ni ukumbusho alama ya ahadi ya ndoa yenu

Ya kwamba mtaishi na mkipendana mpaka kifo chenu *2

Chorus

Mmethibitisha mbele ya kanisa ya kwamba mtaishi na mkipendana

Siku zote daima na milele

Tunawatakia amani ya Bwana na upendo wake ukae na nyinyi

Siku zote daima na milele