SectionsThanksgivingFuraha Nishabatizwa

Furaha Nishabatizwa

Lent,Lent,Lent,Lent,Lent,Advent,Advent,Advent,Advent,BaptismThanksgiving
Verse 1

Furaha nishabatizwa, usaf huu moyonwangu na sasa nimekwisha fanywanmotto wake Mungu wangu kwa hivyonmimi ni mkristu wa kweli mwana wa kanisanshukrani kwako Mungu wangu

Verse 2

Ee Baba, uliyeniumba, mapenzi yakonyatimie kwa roho, hata mwili wangu,ntayari kukutumikia

Verse 3

Ee Mwana, uliyenikomboa, na Babanukaniunganisha damuyo nisiisahaunambayo imenisafsha

Verse 4

Ee Roho, umenishukia, fahari naonamoyoni mwangazao udumu kwangu,namani yako nipe hima.