SectionsExitFadhili Za Bwana

Fadhili Za Bwana

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,LentExit
Chorus

Fadhili, Fadhili za Bwana nitaziimba milele*2

Kwa kinywa changu nitavijulisha (vijulisha)nvizazi vyote uhaminifu wako

Nitavijulisha, uhaminifu wako.

Verse 2

Maana nimesema, nimesema fadhili zitajengwa milele,nkatika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako

Verse 3

Nimefanya agano,na mteule wangu nimemwapia Daudi,nmtumishi wangu,kuwa wazao wako nitawafanya imara milele