Chorus
Ewe mama Maria, mama yetu mwema, Mama wa Mungu
Sisi wanao leo, tunakusalimu, salamu Mama
Verse 2
Ee mama yetu mwema, mama yetu Maria
Sisi tunakupenda tunakupenda sana
Verse 3
Ee mama yetu mpenzi, sikia ombi letu,
Katika shida zetu, kwa mwanao tuombeen
Verse 4
Ee Mama mbarikiwa, mama msafi wa moyo
Mama mwenye huruma, uwe nasi daima
Verse 5
Na mwisho mama wa ugeni huu,
Tusaidie Mama, tufike juu Mbingunin